Picha: Kajala aamua kusheherekea siku ya Kuzaliwa na Watoto yatima.. na Kukata keki nao Pamoja !




Muigizaji wa filamu nchini, Kajala Masanja, leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea watoto yatima wa kituo cha Tanzania Mitindo House jijini Dar es Salaam.
f585587ef2db11e288f622000a1fbc72_7
0a4cff66f2da11e2984322000a1fcb7e_7
Kajala akiwa akimhoji mmoja wa watoto hao
1a90d67af2dc11e2a23322000aaa04c3_7
9b9df9f6f2db11e295c822000ae80c95_7
Vitu vilivyotolewa na Kajala kwenye kituo hicho

Picha via: Instagram
Previous Post Next Post