Official Video from Izzo Bizness feat Barnaba & Shaa - Love Me



Pata Muda wako wa Kuweza kuitazama hapa chini ni video mpya amabayo ilikuwa ikisubiliwa na Mashabiki Wengi wa Tasnia ya Bongo Flovour. Sasa kichupa kimetoka na kiko tayari kwa wewe mtazamaji kuweza kutupia macho yako


Video imefanyika chini ya E MEDIA Video chini ya  Direcctor Nick Dizzo na Sama John
Previous Post Next Post