ANGELINA JOLIE AONGOZA KWA UPANDE WA WANAWAKE KWA KULIPWA HELA NYINGI HOLLYWOOD


Angelina Jolie anaongoza kwa kuchukua mwanja mwingi hollywood kushinda ma-actress wote. Inasemakana kwamba Jolie amefanikiwa kuingiza jumla ya £21.5million kwanzia mwezi june 2012 mpaka june 2013.




Angelina Jolie amefanikiwa kuongeza kipato chake kwa kiasi cha £8.5million ukilinganisha na kipato chake cha mwaka jana cha jumla ya £13.0 million.
Nafasi ya pili imeshikiliwa na mwanadada Jennifer Lawrence (Oscar2013 best actress) ambaye ameigiza kwenye hunger games ameingiza jumla ya £17million wakati demu wa twilight Kristen Stewart ameingiza jumla ya £14.4million

4) Jennifer Aniston – £13million
5) Emma Stone – £10.4million
6) Charlize Theron – £9.8million
7) Sandra Bullock – £9.1million
8) Natalie Portman – £9.1million
9) Mila Kunis – £7.2million
10) Julia Roberts – £7.2million





Previous Post Next Post