WAREMBO WA REDD'S MISS TANGA 2013 WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI KATIKA JII LAO




Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa katika mapango ya Amboni jijini Tanga ikiwa ni sehemu ya kutangaza utalii uliopo katika mkoa wa Tanga.Shindano lao litafanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mjini Tanga siku ya Ijumaa Juni 22,2013.


Warembo wakiendelea na safari yao ndani ya Mapango hayo.


Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa nje ya mapango ya Amboni jijini Tanga ambako walitembelea ikiwa ni sehemu ya kutangaza utalii uliopo katika mkoa wa Tanga.Shindano lao litafanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mjini Tanga siku ya Ijumaa Juni 22,2013.
Previous Post Next Post