NEW MUSIC : JOH MAKINI FT. FUNDI SAMWELI – NIKUMBATIE




Ni ngoma mpya kutoka kwa rapper Joh Makini inayokwenda kwa jina la “NIKUMBATIE” ambayo amemshirikisha Producer Fundi Samweli ambae kwa sasa yupo nchini Sweden. According toMWAMBA WA KASKAZINI, ngoma hii ilirekodiwa toka mwaka jana as i fundi akiwa bado yupo na ilikuwa itoke kabla ya ngoma zake zingine kama MANUVA na zinginezo …
Usiku wa leo, Joh Makini anafanya party ya kui-launch ngoma hii ndani ya ukumbi wa disco waAmbassador’s Lounge.
Pata time yako ya kuweza kuisikiliza ngoma hii hapa chini …




Previous Post Next Post