Siku ya Jumamosi (June 8), rapper Kanye West alikuwa anasheherekea birthday yake kwa kufikisha miaka 36 huko New York.

Washkaji zake wa karibu Jay Z na mkewe Beyonce pamoja na rapper Nas walikuwa miongoni mwa watu waliompa support kwa kujumuika nae katika sherehe ya siku yake muhimu.
![]() |
| Beyonce |
![]() |
| Jay Z |
![]() |
| Jay Z AND Beyonce |
![]() |
| Jay Z , Beyonce , Kanye West na Nasi |



