SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM ILIYOUNDWA KUCHUNGUZA VURUGU ZA MTWARA



Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akimkaribisha Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan aliemtembelea Ofisi kwake Bungeni leo.


Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika na mazungumzo na Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan Ofisi kwake Bungeni leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika kikao cha pamoja na wajumbe wa kamati maalum iliyoundwa na Spika kuchunguza chanzo cha migogoro ya wananchi wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi. Picha zote na Owen Mwandumbya.
Previous Post Next Post

Popular Items