Watuhumiwa wa sugu wa wizi wa mafuta na vipuri katika minara mbalimbali ya simu hapa nchini wakiwa chini ya ulinzi wa jeshi la polisi muda mfupi baada ya kukamatwa wakijaribu kufanya uhalifu katika mnara uliopo eneo la Tengeru jana,kulia ni Njamas Lyoka(27) na mwenzake,Essau Bussa(44).
……………………………………………………………….
Na Gladness Mushi wa Fullshangwe-Arusha
VINARA sugu ambao hujihusisha na wizi wa vipuri na mafuta ya
Transformer katika minara mbalimbali hapa nchini wanashikiliwa na
jeshi la polisi mkoani Arusha baada ya kukamatwa muda mfupi kabla ya
kutaka kuiba vipuri katika mnara wa Tengeru.

Wizi hao walifanikiwa kukamatwa baada ya taarifa za wao kutaka kuvamia
katika mnara huo na kuiba kubainika na hivyo kuwekewa mtego maalum wa
jeshi la polisi kwa kushirikiana na viongozi wa kampuni ya Northen
Engineering na kampuni ya Ulinzi ya Security [Intelligence]na
kukamatwa.

Kampuni hizo mbili ndizo zinajishughulisha kuhudumia minara hiyo ya
simu katika mikoa 14 ya minara hapa nchini na hivyo kila mara
kulazimika kulipa fidia kwa wizi unaofanyika katika minara hiyo kutoka
kwa makampuni ya simu wanaomiliki minara hiyo.

Akuiongea mara jana kwa njia ya simu mkuu wa kituo cha polisi Tengeru
[OCS]Deusi Masala alisema watuhumiwa hao wawili wanaendelea
kushikiliwa na jeshi la polisi katika kituo hicho kwa mahojiano na
watafikishwa mahakamani siku ya jumatatu[leo].

Aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Njamas Liyoka [27] mkazi wa sakina
Arusha na Esau Busa [44] mkazi wa Mbauda ambae huishi jijini Dar es
salaam ambao wamefunguliwa hati ya mashtaka namba Teng/Rb 317/2013.

Nae msemaji wa kampuni ya Ulinzi ya Inteligence Security Nasoro
Shabani akiongelea tukio hilo alisema wamefarijika kukamatwa kwa watu
hao ambao wamekua wakiwasababishia hasara kubwa ambayo hutokana na
ulipaji wa fidia pindi wizi unapotokea.

‘’Siosi kama kampuni leo tunaona tumepata mwanga juu ya wizi
wanaotufanya tupate hasara ya fedha kila mara kwa kulipa fidia
kutokana na upotevu wa mafuta na vipuri katika minara mbalimbali hapa
nchini’’alisema Nasoro.

Alisema kuwa katika mkoa wa Mwanza pekee mwaka jana walilazimika
kulipa fidia ya shilingi milioni 200 kutokana na wizi wa Betri za
mitambo huku kwa mkoa wa Singida wakilipa milioni 38 kwa ajili ya wizi
wa mafuta ya Transforma.

Aidha alieleza katika mkoa wa Geita walilipa kiasi cha shilingi
milioni 300 kutoka na wizi wa vipuri ,mafuta na Betri huku Arusha
wakiibiwa Genereta na Vipuri na hivyo kufanya kazi hiyo ya kuhudumia
minara hiyo kuwa ngumu kwao.

Rigodi Nkya mwanasheria wa kampuni ya Northen Ingineering alisema
walifanikiwa kuwakamata wizi hao baada ya kupata taarifa kutoka kwa
walinzi juu ya uwepo wa watu wasiowafahamu katika eneo hilo ambao
walikuwa wakiwashawishi kutoa fedha ili waingie ndani ya mnara huo