ZIARA YA RAIS DK SHEIN WILAYA MAGHARIBI ZANZIBAR

IMG_1277

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kulifungua Soko la Samaki Mazizini pwani,ikiwa ni mradi wa Tasaf alipokua katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,  Picha na Ramadhan Othman 
IMG_1279
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Tasaf
Unguja Shaaban Ali Abdulmalik,wakati alipofungua    Soko  la Samaki la
Mazizini Pwani,  ikiwa ni mradi wa Tasaf kupitia Macemp,alkiwa katika
ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_1559

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Rans CO LTD,inayoshuhukia ujenzi Nassor Salim
Said,alipotembelea Kilimo cha Mboga mboga kinacholimwa na kampuni hiyo
huko Kombeni Wilaya ya Magharibi alipokuwa katikaziara ya Mkoa wa
Magharibi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia