WUF YAsaidia WANAWAKE WAJASIRIAMALI

DSC_8808
Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB),Margareth  Chacha (kulia batiki akimkabidhi Leila Minambungu hundi ya Tsh Mil. 3 kwa ajili ya kuendeleza biashara yake wa pili kutoka kushoto ni  Mwenyekiti wa Unity of Woman Friends  (UWF), Esther Wakati na wa pili kutoka kulia ni  Mweka hazina (UWF),Mwate Madinda.
DSC_8811Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB),Margareth  Chacha (kulia batiki akimkabidhi Theonestina Renatus  hundi ya Tsh Mil. 2 kwa ajili ya kuendeleza biashara yake wa pili kutoka kushoto ni  Mwenyekiti wa Unity of Woman Friends  (UWF), Esther Wakati na wa pili kutoka kulia ni  Mweka hazina (UWF),Mwate Madinda. DSC_8814Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB),Margareth  Chacha (kulia batiki akimkabidhi Aziza Khalidi Mbogolume hundi ya shilingi Mil. 6 kwa ajili ya kuendeleza biashara yake wa pili kutoka kushoto ni  Mwenyekiti wa Unity of Woman Friends  (UWF), Esther Wakati na wa pili kutoka kulia ni  Mweka hazina (UWF),Mwate Madinda. DSC_8816Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB),Margareth  Chacha (kulia batiki akimkabidhi akiwa katika pic kwa picha ya pamoja na wanawake wajasiriamali waliokabidhiwa hundi zao kwa ajili ya kuendeleza biashara yao.

Previous Post Next Post