WATANZANIA WAWAKILISHA VIZURI KATIKA MASHINDANO YA” INFOMATRIX AFRICA”


DSC_0107
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambw aakiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 200 moja ya washindi wa medani ya fedha Sharon Hamis (wakwanza kushoto) na Fatma Jeddah (wapili kutoka kushoto) kutoka shule ya wasichana ya Feza

DSC_0152
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa
akiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 300 moja ya washindi wa medali ya Silva
Eben Kinabo (wakwanza kulia) na Tabian Senga(katikati) kutoka shule ya
Sekondari ya Loyola Tanzania katika hafla ya tuzo za mashindano ya
“Infomatrix Africa” yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. DSC_0237
Washiriki wa Infotrix Africa walioiwakilisha vizuri Tanzania
katika mashindano hayo yaliyomalizika wikendi hii.
Previous Post Next Post

Popular Items