 |
Kurudishia vifaa vilivyoibwa ni milioni mbili na nusu ambapo Dully imebidi anunue vingine baada ya kugoma kununua vilevile vilivyoibiwa kwenye gari lake manake jamaa walimpigia simu wakisema wanavyo.
|
Uhalifu umefanyika kwenye kituo cha Polisi Jamii anakolilaza gari nyumbani kwao Tabata Bima.