MAITI YA ANAYESADIKIWA KUWA KIBAKA YATELEKEZWA UKO MBEZI BEACH BAADA YA KUPIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.


Mwili wa kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 na 22 (hakufahamika jina) ukiwa umetelekezwa kwenye barabara iendayo kiwanda cha kukoboa nafaka cha Jngoo maeneo ya Mbezi beach. Kijana huyo anayedaiwa kuwa ni kibaka, alipingwa na wananchi wenye hasira kali kwa silaha mbalimbali ikiwemo mawe na kusababisha kifo chake.

Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia

Martin Kadinda amkumbuka Jack Patrick