WAZIRI WA MAMBO YA NJE YA NCHI WA OMAN USO KWA USO NA RAISI WA ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman,Yussuf bin Alawi Bin Abdullah,(wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake kwa ajili ya Mazungumzo na Rais. (Picha na Ramadhan Othman,IKulu).

Previous Post Next Post