Na Mwandishi Maalum
Wakati Idara ya Operesheni ya Ulinzi wa Amani ya Umoja wa Mataifa (DPKO) ikijielekeza katika matumizi ya teknolojiza za kisasa katika shughuli za ulinzi wa amani, zikiwamo ndege zisizokuwa na rubani (Unmanned Aerial Systems ) maarufu kama Drones. Baadhi ya mataifa hasa yale yanayoendelea yanataka kuwapo kwa majadiliano zaidi
kuhusu matumizi ya zana hizo.
Taarifa ya matumizi ya teknolojia za kisasa katika ulinzi wa amani, imetolewa na
Mkuu wa DPKO , Bw Herve Ladsous, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kamati
Maalumu inayohusika na masuala ya operesheni za kulinda amani maarufu kama C-
34. Kamati hiyo maalumu ipo chini ya Kamati ya Nne ya Baraza kuu la Umoja wa
Mataifa.
Katika taarifa yake, Bw Ladsous ameeleza kwamba uamuzi wa kutumia teknolojia za
kisasa zikiwamo unmanned aerial systems (UAS) unalenga katika kuboresha utendaji
kazi wa misheni za kulinda amani, kukusanya taarifa na kutoa tahadhari za awali na
kubwa zaidi kuokoa maisha ya walinzi wa amani dhidi ya hujuma mbalimbali.
Katika
wamepoteza maisha kwa nyakati tofauti
majukumu yao ya kuwalinda wananchi katika nchi zenye migogoro.
Akieleza zaidi kuhusu mpango huo, Bw. Ladsous amesema, zana hizo zitaanza kwa
majaribio katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kupitia misheni ya kutuliza amani
MONUSCO
“Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ametoa pendekezo la kutumika kwa majaribio
teknolojia hii katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tunafanya kazi kwa karibu
na Baraza Kuu la Usalama , nchi mwenyeji, na wadau wengine kuhakikisha kwamba
walinzi wetu wa amani wanapata fursa ya kutumia teknolojia ya kisasa” akasema Mkuu
wa DPKO
Na kuongeza kwamba matumizi ya teknolojia
walinzi wa amani bali pia kuzijengea uwezo na maarifa misheni hizo.
mwaka uliopitia (2012) walinzi wa amani 111 wakiwamo watanzania sita
kwa kushambuliwa wakati
wakitekeleza
hizo ni muhimu si katika kuwalinda
Mkuu huyo wa DPKO akaeleza zaidi kwamba mchakato umeanza wa kuomba ridhaa
kwa nchi mwenyeji, kuzijulisha nchi jirani, mawasiliano na nchi zinazotoa walinzi wa
amani (TCC) na kuwauliza wauzaji wa zana hizo wale ambao wataonyesha nia.
Baadhi ya mataifa
sintofahamu na hofu kuhusiana na suala hilo,yanaunga mkono matumizi hayo katika
kile wanachoamini kutasaidia sana kupunguza vifo vya walinzi wa amani.
Hata hivyo baadhi ya nchi zinazoendelea na ambazo zinachangia walinzi wa amani
maarufu kama TCC, zinasisitiza kwamba uamuzi wa matumizi ya zana hizo za kisasa
ni lazima yajadiliwe miongoni mwao . Ikiwa ni pamoja suala la
matumizi ya zana hizo, raslimali fedha na teknolojia inayoambatana na zana hizo.
Mkutano huu wa Kamati Maalum ya operesheni za kulinda amani licha ya kujadili suala
zima la shughuli za ulinzi wa amani, unajadili pamoja na mambo mengine changamoto
mbalimbali zinazowakabili walinzi wa amani na
operesheni hizo.
Baadhi yachangamoto zinazojadiliwa ni pamoja na
wanayobeba walinzi wa amani , uhaba na ufinyu wa raslimali fedha na vifaa, dhana
ya ulinzi wa raia, ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi
hususani Polisi wanawake katika ulinzi wa amani na
wakiwamo pia Polisi, Magereza na Raia
Suala la malipo kwa walinzi wa amani ni jambo ambalo pia limeendelea kutiliwa mkazo
katika mkutano huu, na karibu wazungumuzaji wote
iliwakilishwa na Balozi Ramadhani Mwinyi, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania
katika Umoja wa Matifa.
Wazungumzaji wote
mapendekezo yaliyotolewa na Kundi la Washauri kuhusu malipo ya walinzi wa amani
pamoja na vifaa yatafanyiwa kazi ipasavyo wakati Kamati ya Tano ya baraza Kuu la
Umoja wa Mataifa itakapokutana mwezi March mwaka huu.
yaliyoendelea
ingawa yanakili kwamba bado kuna hali ya
sheria na sera za
mfumo mzima wa utekelezaji wa
mkanganyiko wa dhamana
, ushiriki wa wanawake
mafunzo kwa walinzi hao
ikiwambo Tanzania
ambayo
wametaka na kusisitiza kwamba ni matumaini yao
kuwa