RAISI JAKAYA KIKWETE AWATAMBULISHA WAJUMBE WA KAMATI KUU DODOMA
byNews Tanzania-
0
Mwenyekiti wa CCm Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM nje ya ukumbi wa White House,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.