RAISI JAKAYA KIKWETE AONGOZA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA ASKOFU LAIZER


8E9U0677
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini Arusha leo.
(PICHA NA IKULU)
8E9U0890
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la Maua katika kaburi la Marehemu Askofu Dkt.Thomas Laizer wakati wa mazishi yaliyofanyika katika Kanisa KKKT Usharika wa mjini Kati,Arusha mjini leo.
8E9U1033
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA  na Freeman Mbowe  Mbunge wa Jimbo la Hai Mh.  kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
IMG_6373
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya Mazishi ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati,jijini Arusha.
IMG_6518A
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Mh. Benjamin William Mkapa wakati wa Mazishi ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati

Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
Previous Post Next Post