MMY MAREKANI WIKI ILYOPITA


Goldie na CEO Kennis Music,Kampuni ya music aliyokuwa akifanya kazi mpaka anafariki,Kenny Ogungbe.
Hizo ni baadhi ya picha za mwisho ambazo Goldie alizipiga alivyoenda Marekani W/end iliyopita katika Tuzo kubwa duniani za Grammy ambapo Goldie alikuwa ni kati ya Waafrica wachache waliopata bahati kuhudhuria Tuzo hizo.

Akiwa na Ciara katika Pre event Party ya Grammy

Akiwa na Chaka Khan.
RIP Goldie!
Tags:
celebrity News