MSD YAWALIPUA WANAOLINDA WABADHIRIFU


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimzaFjPlzkKHkdxttfNetrjgyo5P_M38G1Vped2j5dRKrWrnY4Mf-KbaGjxQOs-TlUk5xCte_D4NaUjRsFsPanNkvvxlx-mLDGkiCTkMy8ZsPPk5B_TAgxDOdxdm_iiGdrVa_1SjBQ-gWv/s1600/IMG_0793.JPG
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani akielezea kuhusu utendaji wa bohari hiyo pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo, zikiwemo za vyombo vya dola kuwafumbia macho baadhi ya wafanyabiashara wanaouza dawa za serikali kiholela pamoja na wanaokamatwa kwa kutorosha dawa hizo nje ya nchi.
Taasisi zilizomwagiwa lawama hizo ni baadhi ya maofisa kutoka vyombo vya dola, serikalini na wafanyabiashara. Mwaifwani alidokeza hayo wakati wa Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) la
kujadili tafiti z\ilizofanywa na wanahabari kuhusu matumizi ya fedha
zinazochangwa na wananchi kwa ajli ya masuala ya afya katika halmashauri
 26 nchini.
Previous Post Next Post