Mawaziri wakuu wastaafu Mh Edward Lowassa na Mh Fredrick Sumaye wakijumuka na viongozi wengine katika msiba wa mama yake mkurugenzi mtendaji mkuu wa crdb, dr kimei mwishoni mwa wiki huko Komakundi Marangu Mkoani Kilimanjaro.
Mh Lowassa akitia saini kitabu cha maomolezi ya kifo cha bibi Eliangichopasia, ambaye ni mama yake mkurugenzi mtendaji wa crdb dr kimei.bibi huyo alifariki wakiwa na umri wa miaka 97.
Mh Lowassa akiwapa pole Dr Kimei(katikati) na dada yake