MAMA KIKWETE AENDELEA NA ZIARA LINDI


IMG_9187
Wananchi wa Kata ya Makonde wakicheza ngoma ijulikanayo kwa jina la deda inayochezwa na watu wa kabila la Wamwela wanaoishi katika wilaya ya Lindi Mjini wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete alipotembelea tawini hapo tarehe 19.2.2013


IMG_9302
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa wananchi wa Kata ya Makonde iliyoko katika Manispaa ya Lindi wakati alipofanya ziara ya kikazi katika kata hiyo tarehe 19.2.2013.  
 PICHA NA JOHN LUKUWI
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia