JENGO LA PPF TOWER JIJINI DAR ES SALAAM LASHIKA MOTO


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Jeng ola PPF TOWER lililopo mtaa wa Ohio jijini Dar es Salaam limepata hitilafu ya umeme na kusababisha moto mkubwa kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo juu kabisa ya jengo hilo . Tutakuletea kinachojiri eneo la tukio.

Previous Post Next Post