WAZIRI WA MICHEZO ATEMBELEWA NA UNESCO

IMG_0263
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akimsikiliza Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bibi Vibeke Jensen alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia maeneo ya kushirikiana na Wizara katika Sekta ya Utamaduni na Habari. (Picha na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

IMG_0271

IMG_0274
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akiongea jambo na ujumbe kutoka UNESCO uliomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia maeneo ya kushirikiana na Wizara katika Sekta ya Utamaduni na Habari. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika hilo nchini, Bibi Vibeke Jensen na kushoto ni Katibu Mtendaji Tume ya Taifa kutoka katika Shirika hilo, Prof. Elizabeth Kiondo. (Picha na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

Previous Post Next Post