RAIS DK.SHEIN,AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI


IMG  5878
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG 5867
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa
na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_5893
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani
Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa
na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Previous Post Next Post