
Koko master D’banji na mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Millen ‘Happines’ Magesse ndio walikuwa gumzo kubwa nchini Nigeria wakati wa kumalizia mwaka wa 2012 pale walipo-host Onesho maalum la mwisho wa mwaka nchini Nigeria lilnalowakutanisha Wanamuziki na wanamitindo katika jukwaa moja.
Tamasha hilo lilifanyika katika Hotel ya Eko, Viktoria Island jijini Lagos, na hivi ndivyo Mwanadada Millen alivyotuwakilisha.

Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Millen Magesse akiwa kavalia ubunifu wa Moofa.

Millen ndani ya Shakara Couture.

Millen akiwa kavalia vazi la April by Kunbi.

Millen akitangaza ndani ya kivazi cha Re Bahia.


Millen na vazi la Andrea Inyamah.

Millen na vazi la Bridget Awosika.
Tags:
Entertainment