HomeNews MAKAMU WA PILI WA RAIS AWASILISHA MAONI byNews Tanzania -Monday, January 21, 2013 0 Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Vincent Mrisho akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano kati yake na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume jana (Jumapili, Jan 20, 2013). Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Jospeh Warioba. Tags: News Politics Facebook Twitter