Maofisa wakuu 42 wenye vyeo vya meja hadi kanali wa nchi za ukanda wa afrika mashariki EAC na nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa afrika SADC wakiwa katika picha ya pamoja na waziri wa ulinzi pamoja na viongozi mbalimbali wa jeshi katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimu mafunzo ya unadhimu katika chuo cha ukamanda na unadhimu csc Arusha
Tags:
Social
