Kikosi cha paredi cha Jeshi la wananchi la Tanzania (JWTZ) Kikipita mbele ya maofisa wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wakati wa gwaride la majaribio la kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru ambapo kesho Disemba 9 mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja huo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kikosi cha jeshi la Magereza kikipita mbele ya maofisa hao.
Kikosi cha Wanamaji kikitembea kwa Mwendo wa Polepole.
Tags:
Social