Ban Kin Moon Akutana Na Mwenyekiti Wa SBSTA



Kulia katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Kin Moon akipata maelezo ya mkutano kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya taaluma na sayansi ya mabadiliko ya tabia nchi Bw. Richard Muyungi (kushoto) kabla ya ufunguzi wa mkutano wa mawaziri na wakuu wa nchi katika mkutano wa 18 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Doha, (katikati) ni mwenyekiti wa kamati ya utendaji ya mkataba Bw. Tomasz Chruszczow.
                   (Picha na Evelyn Mkokoi)
Previous Post Next Post

Popular Items