Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akijaribu moja
ya Vifaa alivyopokea kwa niaba ya Serikali kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China ikiwa ni
kudumisha na kuendeleza ushirikiano baina ya Serikali ya Tanzania na China.Vifaa hivyo vitasaidia
katika sekta ya Utamaduni, anaeshuhudia ni Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youiqing. (Picha na
Benjamin Sawe).
Balozi wa Jamhuri ya watu wa China Mhe. Lu Youiqing akitoa maelezo mafupi kabla ya
kumkabidhi Mhe. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara( kulia)
vifaa vitakavyosaidia katika sekta ya Utamaduni. Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).
Tags:
Social

