Mchezaji bora No.1 wa Tenesi duniani kwa upande wa wanawake Victoria Azarenka (Belarus) jana amejihakikishia kubaki akishikilia usukani wa dunia na kufuzu kucheza nusu fainali ya mabingwa wa WTA dhidi ya Maria Sharapova (Urusi) mchezaji bora No.2 wa dunia.
Nae bingwa wa Olympic, Wimbledon and US Open ,Serena Williams (USA) ambaye kwasasa ni No.3 anatarajiwa kupambana na World No. 4 Agnieszka Radwanska (Poland).
Nusu fainali hii inatarajiwa kuendelea leo mjini Istambul, Uturuki na hitimisho la michuano ni jumapili ya tarehe 28, Oktoba.
Tags:
Sports
